Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mshahara aliokuwa akipokea ni Tsh ngapi? Utashangaa 50,000 tuUnajua ni lini ameachwa kulipwa mshahara wake Kama CDF? Labda kama Alikuwa anagoma kuupokea
Umenichekesha hiyo akitaka kuamka kula saa 8nza usiku....Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia
Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.
CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi
Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.
Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa
Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.
Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe
USA Unafanya Nini mzalendo?Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Haya maswali ya ITV kipima joto sijui bado yapo huko...Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Wake sio shidaUsisahau alikua na wake watano! Kila mtu huwekeza apendapo!