Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia

Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.

CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi

Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.

Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa

Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.

Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe
 
Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Huyu shujaa (RIP) Alikuwa ni Kizazi cha kizalendo cha akina Nyerere wa enzi hizo. Siyo kizazi cha sasa ambacho kinaendekeza ubinafsi na ulimbkizaji wa mali zisizo za halali na sisi waTanzania wa sasa tunependa kushabikia na kuona mafisadi kama watu waliofanikiwa kumbe ni opposite tulipaswa kuwachukia na kuwalaani. Mungu ampumzishe kwa amani Shujaa wetu Gen Musuguli !
 
Wake 5= wakwe 10 = mashangazi/wajomba 20.

Kama@mke kazaa. watoto 5= watoto 25.

Jumla kuu ya wategemezi wa Msuguri= watu 60 (bila kuweka masheji).

Umaskini kautaka mwenyewe
Lakini kaishi miaka mingi kuliko Matajiri.

Sio kwamba alikuwa maskini. Alikuwa anakula, analala, anambato, anasinzia vizuri.

Sasa kakosa nini hapo?
 
Wakati Mwamunyange amejengewa Kasri la maana
 
Hakika !
 
Lakini kaishi miaka mingi kuliko Matajiri.

Sio kwamba alikuwa maskini. Alikuwa anakula, analala, anambato, anasinzia vizuri.

Sasa kakosa nini hapo?
Hata Kobe anaishi miaka mingi sana (150) lkn ya mateso. Msuguri hajatafuna bata vya kutosha, hakuwa akienda vacation Dubai na kwingineko.

Mwaka mmoja wa tajiri una bata la kutosha sawa na miaka 10 ya Msuguri.
 
Weka picha ya Nyumba yake hapa!
 
Wake 5= wakwe 10 = mashangazi/wajomba 20.

Kama@mke kazaa. watoto 5= watoto 25.

Jumla kuu ya wategemezi wa Msuguri= watu 60 (bila kuweka masheji).

Umaskini kautaka mwenyewe
Mtu kuamua kuishi simple life sio Umasikini. !
Bali Masikini ni wale wanaoishi maisha ya kifahari na kila siku wanatumia kila njia za haramu ili wapate pesa za kuyaishi hayo maisha ya kifahari !!

Na mbaya zaidi ni kwamba huwa hawatosheki na huwa hawaridhiki mpaka siku yupo Kitandani taaban bin hoi kwa maradhi yanayoitwa magonjwa Sugu ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„ ! ๐Ÿ˜ฑ!
Kazi kweli kweli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ