House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

Ninayo inst ingawa siitumutunii mara kwa mara lambda unipe no yako au unitumie sms whtsp kwenye no yangu thn nitakutumia hapo
Hiyo ya dovillenproperty consulting ndio yako hii nimeona baadhi ya nyumba ila ningepitisha macho kuona bei zenu za viwanja
 
Be realistic! Nimefanya hesabu rahisi na kuona kuwa kwa bei uliyotaja ni kwamba 1sqr meter ni zaidi ya 350,000/= Sasa kwa maeneo hayo hiyo ndio bei halisi ya kiwanja kwa mita moja ya mraba? Hiyo bei imewekwa kwa kuangalia vigezo gani?
Weka wazi hapa vigezo vilivyothaminisha hiyo ardhi kwa hiyo bei...na siyo kuleta taarabu!
Mkuu tuishie hapo naomba samahani kwa kukufanya usome hili tangazo.
 
MKUU utaumiza kichwa bure humu wengi tunaishi Tegeta kwa ndevu,Kinzudi,Tandale,Mansese,magomeni kagera nk.Kwahiyo elimu dunia juu ya real estate hatuna,kwaiyo hatujui kuwa location ya nyumba inaamua bei.
"Sio wote wanaobeba majembe ni wakulima Bali wengine ni waganga wanaenda polini kuchimba dawa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuelewa sana mkuu, asante sana
 
Mkuu naona unalazimisha ugomvi ila acha tu niseme Mungu akuhurumie
Ugomvi gani sasa?
Hahaaa...unapanic bure kijana!
Naona umeshikwa panapo, maana bei uliiweka interms of dollar kwa maslahi flani, then baada ya unyambulifu kidogo kufanyika unashindwa kutoa majibu yanayoeleweka!
Na kwenye hili suala Mungu anaingiaje?
 
Waswahili bhana mtu kaweka nyumba lakini full kukatishana tamaa.
Ila kiuhalisia hapo kuna kama 200 ya udalali.
All the best mkuu,i hope utapata mteja.
 
Sidhani kama umefanya research ya kujuwa bei halisi za nyumba hasa sehemu hizo, pia ebu weka bei kwa Tshs. Bei ulioweka ni kubwa mno mno, ila kila la heri..
 
Tanzania kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu....Hakuna anayependa kuonekana hajui kitu!!!......
Mkuu jf all members are professional in @sector, hii ndio jf , anzisha habar za jesh, shilawadu.... Na ukitaka hata data zako watakupa
 
Siku hizi watu wananua viwanja mje ya mji bei chee na kuishi huko huko
 
Back
Top Bottom