House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

800M si kitu kidogo..Ni Ujenzi wa Kituo Cha afya Hyo pesa Na Kwa Awamu Hii kama Unaitaji Pesa Ya Haraka Haraka Chukua ata 250M
 
Kwahyo bei awamu hii hupati aisee kuna mtu naye anauza eneo billion sasa ni 2 years hapati Mteja, awamu hii ardhi haina thamani kivile

Kuna mtu anuza nyymba kali eneo la 4300sqr m ni ya gorofa ila leo karibu mwaka ss hajapata mteja
 
Huwezi kuwa serious wewe......mill 800......wewe hivi iliona ile mijumba alionunua Dr shika? Itafanana na hyo inayotuonesha hapo?
Za Dr Shika ilikua Mbweni, hapo ni Mbezi beach. Hiyo bei kwa mtu mwenye uhitaji wanaeza kaa mezani ila mpaka apatikane kwa kipindi hiki ni ngumu kidogo. Ila watu mnao suggest mil 300 ni kidogo sana kwa eneo hilo
 
yani nanunua kiwanja kwa mil 800? naanza ujenz tena si bora niende uko kidomole napata kiwanja cha maana na ninajenga uku nafuga na kulima na chenji inabaki
Kuna siku Mungu atakujalia utazikamata ila hayo mawazo hautokua nayo. Utawaza kukaa na matajiri wenzako itakubidi umtafute jamaa aku uzie plot kwa mil 800 [emoji2]
 
Nguvu ya soko, kuna kipindi nyumba (real estate value) za dar zilikua juu kuliko hata za NYC,
 
Kuna siku Mungu atakujalia utazikamata ila hayo mawazo hautokua nayo. Utawaza kukaa na matajiri wenzako itakubidi umtafute jamaa aku uzie plot kwa mil 800 [emoji2]
Muambie ndg, asikate tamaa maisha hupanda na mwenye kuongeza thamani ya mtu ni Mungu mwenyewe
 
Back
Top Bottom