Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hiyo ya dovillenproperty consulting ndio yako hii nimeona baadhi ya nyumba ila ningepitisha macho kuona bei zenu za viwanjaNinayo inst ingawa siitumutunii mara kwa mara lambda unipe no yako au unitumie sms whtsp kwenye no yangu thn nitakutumia hapo
Mkuu tuishie hapo naomba samahani kwa kukufanya usome hili tangazo.Be realistic! Nimefanya hesabu rahisi na kuona kuwa kwa bei uliyotaja ni kwamba 1sqr meter ni zaidi ya 350,000/= Sasa kwa maeneo hayo hiyo ndio bei halisi ya kiwanja kwa mita moja ya mraba? Hiyo bei imewekwa kwa kuangalia vigezo gani?
Weka wazi hapa vigezo vilivyothaminisha hiyo ardhi kwa hiyo bei...na siyo kuleta taarabu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuelewa sana mkuu, asante sanaMKUU utaumiza kichwa bure humu wengi tunaishi Tegeta kwa ndevu,Kinzudi,Tandale,Mansese,magomeni kagera nk.Kwahiyo elimu dunia juu ya real estate hatuna,kwaiyo hatujui kuwa location ya nyumba inaamua bei.
"Sio wote wanaobeba majembe ni wakulima Bali wengine ni waganga wanaenda polini kuchimba dawa"
Yeah ndio hiyo mkuu, ngoja nitakuwa naweka pia hukoHiyo ya dovillenproperty consulting ndio yako hii nimeona baadhi ya nyumba ila ningepitisha macho kuona bei zenu za viwanja
Hiyo biashara imeshakushinda...Mkuu tuishie hapo naomba samahani kwa kukufanya usome hili tangazo.
Mkuu naona unalazimisha ugomvi ila acha tu niseme Mungu akuhurumieHiyo biashara imeshakushinda...
Madali uchwara utawajua tu!
Ugomvi gani sasa?Mkuu naona unalazimisha ugomvi ila acha tu niseme Mungu akuhurumie
SidhaniSidhani kama umefanya research ya kujuwa bei halisi za nyumba hasa sehemu hizo, pia ebu weka bei kwa Tshs. Bei ulioweka ni kubwa mno mno, ila kila la heri..
Asante mkuuWaswahili bhana mtu kaweka nyumba lakini full kukatishana tamaa.
Ila kiuhalisia hapo kuna kama 200 ya udalali.
All the best mkuu,i hope utapata mteja.
Mkuu jf all members are professional in @sector, hii ndio jf , anzisha habar za jesh, shilawadu.... Na ukitaka hata data zako watakupaTanzania kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu....Hakuna anayependa kuonekana hajui kitu!!!......
Usikalili mkuu hata sasa maisha yanaendeleaLabda enzi za JK
Umeona eeh kiongoziMkuu jf all members are professional in @sector, hii ndio jf , anzisha habar za jesh, shilawadu.... Na ukitaka hata data zako watakupa
Inategemeana na kipato,Siku hizi watu wananua viwanja mje ya mji bei chee na kuishi huko huko