House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa Mtoni Kijichi

Ya ukweli, ila sasa ndio naamini kweli vyuma vimebana...
 
waliohitaji kuiona mnakaribishwa.
 
Sijaelewa
Sijaelewa hapo kwenye hatimiliki ya miaka 33 naomba unifahamishe vizuri.
 
Sijaelewa

Sijaelewa hapo kwenye hatimiliki ya miaka 33 naomba unifahamishe vizuri.
hati miliki hutolewa na wizara ya ardhi kuonesha umiliki halali wa nyumba au eneo husika.
hati miliki hulipiwa pango kama sehemu ya kodi kwa serikali kila mwisho wa mwaka, na mara nyingi hutolewa kuanzia miaka 33 na kuendelea.
mara mda wake unapoisha inakubidi ukabadilishe (renew) wizarani.
 
bei imeshuka wakuu
bi mkubwa kakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…