YAPE
Member
- Oct 10, 2018
- 88
- 90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha haaa! Wacha nicheke kwanza. Ghorofa moja! Hicho kibwenzi hapo juu ndio ushaona ghorofa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha haaa! Wacha nicheke kwanza. Ghorofa moja! Hicho kibwenzi hapo juu ndio ushaona ghorofa?
😂😂😂 Hilo sharti ni gumu kwangu, bora nikose hiyo nyumbaKatoe moyo uniletee kwenye bakuli nyumba utapata tu mama hakuna shida...! Sitaki utapeli eti unipe moyo huku unaotumboni mwako..
Ha ha ha ha mkuu vipi,unauza upendo kwa 350M?Ninavyopeda nyumba mimi,ningepata wa kuninunulia hiyo nyumba ningempenda kwa moyo wangu wote
[emoji23][emoji23][emoji23] Sijali kuhusu bei ya nyumba bali nyumba hiyo.Ha ha ha ha mkuu vipi,unauza upendo kwa 350M?
ha ha ha ha haya powa[emoji23][emoji23][emoji23] Sijali kuhusu bei ya nyumba bali nyumba hiyo.
Ilinibidi nicheke maaana hamna namnaHa haaa! Wacha nicheke kwanza. Ghorofa moja! Hicho kibwenzi hapo juu ndio ushaona ghorofa?
Wazungu nao washashtukaNgoja lile danga langu la ulaya lirudi ntaichukua hyo ghorofa yote