Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

Usd 2000 kwa mwezi ni milioni 5 kasoro... je wewe kwenu mnakula bei gani kwa mwezi?
 
Kwahiyo kwa USD 5000 kwa mwezi anashindwa lisha familia yako?? Halafu chengine..HV insurance wanalipa natural disasters au ndo uwezo wangu mdogo wa kufikiri
 
Shida wanawake wengi wanamuonea wivu k lyn..

Wanasahau k lyn kaolewa na mengi ki halali kabisa... na wakati mengi anamtongoza k lyn alikuwa mengi ni bachelor tayari ndoa imeshavunjika zamani... k lyn hajamuibia mtu mume..

Na pia kama k lyn hana haki...pale nyumba ya mengi kwa nini anaishi hajatimuliwa?
 
Kwahiyo kwa USD 5000 kwa mwezi anashindwa lisha familia yako?? Halafu chengine..HV insurance wanalipa natural disasters au ndo uwezo wangu mdogo wa kufikiri

Insurance hazilipi natural dissaster... navyojua mimi
 
nayo ni habari!
 
Kwahiyo kwa USD 5000 kwa mwezi anashindwa lisha familia yako?? Halafu chengine..HV insurance wanalipa natural disasters au ndo uwezo wangu mdogo wa kufikiri
Umeambiwa USD 2,000. Hiyo 5,000 sijui ulisikia wapi
 
Thank you, lazima tu ukweli waumeze watake wasitake, jack mengi ni mjane wa millionaire na still anaendelea kula pesa za mume wake,she is living a life

Hayo mambo ya kujifanya tunajua sana sheria na mambo ya insurance hayatusaidii, jacky kaula bhana[emoji16][emoji16], yani kwa hilo tukubali tukatae haisaidii [emoji16][emoji16]
 
That’s a point, Kwenye ule mhelalu anafanya nini?? Kama sio mke au kama hausiki, aliyepewa kapewa bhana, halafu klyn mbona hanaga maringo Jaman c wamuache tu, kuna mtu najua angekua kwenye position ya k-Lynn tungejuta, ila dada watu mbona hanaga madharau wala habar na mtu

Yule ana uhakika na maisha hat akiamua kulala maisha yake yote, sasa nyie kazaneni kuroga na nyie muolewe na ma millionaire sio kukimbilia kubeba mimba[emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kwa USD 5000 kwa mwezi anashindwa lisha familia yako?? Halafu chengine..HV insurance wanalipa natural disasters au ndo uwezo wangu mdogo wa kufikiri

soma vizuri ni usd 2000= 4,600,000/TZS hiyo usd 2000 ni hela ya matumizi ya yumbani kula, wafanyakazi , na vitu vingine

kiatu tu anavaa cha million 40 Hiyo usd 2000 ndio akalishe familia yangu halafu familia yake watoto , dada yake , na Mashoga zake watakula nini kwa taarifa yako watoto wake wanasoma same school with my child (IST )mimi sio maskini mwenzio nimekuacha mbali sana
 
Kuishi na kumiliki kitu chenye jina lako ni vitu viwili tofauti

anagekua anapendwa sana angenunuliwa mansion Masaki akaishi huko akaachana na mafuriko Na akatoka kwenye nyumba ambayo michepuko wenzie waliishi

hakuna mtu anaemuonea wivu tapeli na international mdangaji
 
Ahaah Hongera kwa kupambana na umaskini, nauchukia sana umaskini

Lakini pia jacky kajitahid kupiga hatua kimaisha, why umchukie tajir mwenzio Jaman , mi najua Tajir hawez kumchukia mtu aliyemzid maisha
 
Alikua mdangaji lakini sasa hivi TITTLE imebadilika, ni mjane wa millionaire , au binamu hujui kama jacky aliolewa? Na ana haki zote kama mke
 
Ahaah Hongera kwa kupambana na umaskini, nauchukia sana umaskini

Lakini pia jacky kajitahid kupiga hatua kimaisha, why umchukie tajir mwenzio Jaman , mi najua Tajir hawez kumchukia mtu aliyemzid maisha

Huyu sio tajiri huyu ni tapeli anatumia K kufanya utapeli

atafute zake za kuweza kupanda business class tu na kulipia watoto school fees tumpe credits

sio business class za kulipiwa na IPP twice a year atoe mfukoni kwake afungue miradi kwa jasho lake tumsifie

sio atapeli mali zote alizokuta
 
Aliolewa, kama mke nadhani ana haki ya kutumia mali za mumewe, that’s a law ya katiba na nature.

Mwanaume kaumbwa kumtunza na kumlisha mwanamke, hiyo ni kawaida binamu hajavunja sheria
 
Ah ah sasa huyu ndo typical mtanzania mama hivi we ukisema unaela MO aseme Ana nini ah ah shida Sana.....we na Jacky wote gold diggers ukute mshachukuliana wanaume basi beef mtindo mmoja...halafu wenzio wenye Ela wananunua nyumba Manhattan na kusomesha watoto ivy league sio hizi shule za kibongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…