Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Ah ah sasa huyu ndo typical mtanzania mama hivi we ukisema unaela MO aseme Ana nini ah ah shida Sana.....we na Jacky wote gold diggers ukute mshachukuliana wanaume basi beef mtindo mmoja...halafu wenzio wenye Ela wananunua nyumba Manhattan na kusomesha watoto ivy league sio hizi shule za kibongo
Akafanye nini Ivy League mtoto wa Miaka 6, sina hela lakini Nina uwezo wa kusomesha mtoto shule yoyote Africa na ulaya niitakayo bila kutegemea urithi wala digging for gold
nyinyi ndio wale wazazi mnaotuongezea wakina James delicious mtaani kwa Kua unajiona una hela Basi mtoto ukamtupe ulaya at a very young age bila kusimamia malezi yake kwa macho yako, Huruma kwa kweli