Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

Shemko

Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
8
Reaction score
7
Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
 
Inawezekana kujenga maadamu tu upate udongo wa mfinyanzi unajenga tu nyumba nzuri na kubwa ya kisasa.
 
Fytatua tofali na vigae vya udongo vya kuezekea kisha utavichoma Ili viwe vigumu
 
Ingia google andika modern mud house utapata design nyingi Sana KWA low cost hata wewe unaweza jenga KWA nguvu zako tu, mfano hii
 
Attachments

  • Screenshot_20221226_083320.jpg
    Screenshot_20221226_083320.jpg
    125.4 KB · Views: 32
Duniani tunapita wewe unajenga ili iweje? Makao ya kudumu si yako mbinguni?

Yesu miaka 33 aloishi duniani uliona anajenga nyumba yake? Si alijua kuna siku atarudi kwa baba? Sasa wewe pressure ya nini?
 
Duniani tunapita wewe unajenga ili iweje? Makao ya kudumu si yako mbinguni?

Yesu miaka 33 aloishi duniani uliona anajenga nyumba yake? Si alijua kuna siku atarudi kwa baba? Sasa wewe pressure ya nini?
Haha wote wapo
Ingia google andika modern mud house utapata design nyingi Sana KWA low cost hata wewe unaweza jenga KWA nguvu zako tu, mfano hii
Mkuu nimeona idea nyingi kwenye hilo ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom