Nyumba ya kuishi au kubomoa inauzwa Mbezi njia ya Goba

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,119
Reaction score
1,618
Habari maboss

Kiwanja chenye nyumba kinauzwa

Sqm 300
Docoment serikali ya mtaa

Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika.

Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea magufuli standi ya mabasi ni mita 100 yaani unatembea Kwa miguu bila kuchoka.

Eneo unaweza kuvunja na kujenga nyumba ya kisasa kupangisha hata au flem za kisasa.

Mwenye eneo ni mdada anataka million 60 njoo uvuruge uokote Dhahabu.

Dada ana shida balaa njoo Tajiri upige kwenye mshono wa dada.

Nipigie simu nikupeleke
📱 0754693556
 
Yan hapo mtu unanunua kiwanja alafu kwa pesa iyo tena mita 300 dalali punguza njaa pesa haijawai kuwa nyepesi ivyo kisa goba au weka hela halali anayotaka huyo dada
 
Shida za madalali Bwana hapo wameshamjaza dada wa Watu eti atapata mil 50 mwisho acheleww kupata pesa yake.
Kwa maelezo take Hicho kiwanja thamani ni 30mln tu
 
Back
Top Bottom