House4Rent Nyumba ya kupanga -Arusha

House4Rent Nyumba ya kupanga -Arusha

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
165
Reaction score
364
Mambo vp wanaJF
Baada ya kusaka kazi kwa Muda mrefu kwasasa nmepata kazi katka jiji la arusha na natakiwa kuanza January 2...hv sasa natafuta nyumba ya kupanga na kodi ianzie 150000 hadi 200000 Tshs ....eneo lolote zuri mim nko fresh kukaa... nataman nyumba hyoo iwe ni self na chumba kimoja na sebule na fensi maana nina kausafiri...km unamchongo km huo Njoo pm tubonge vzur
Ahsante
 
January 2 ni week end fanya uende Januray 3 ni monday
 
Unataka maeneo ya wapi pale Arusha? Be specific

Mim ni mgeni Arusha... sijui eneo lolote hapo town...Wenyeji ndo mniambie maeneo gan yako Poa...Maana tangu nizaliwe ndo nimefika kwa mara ya kwanza
 
Utafanya kazi eneo gani? Hapo itakua rahisi wadau kujua uishi wapi
 
Back
Top Bottom