Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
IMG_1201.jpeg
 
Kulewa unalewea ndani sema ukitoka nje unatakiwa uwe na breki za kenge!
 
Nimependa mazingira yake.
Humo ndani na hivyo vidirisha si utakosa hewa.

Yamekaa kama mabanda ya kuku.
 
Back
Top Bottom