Jamani ndugu zangu wapendwa, kuna mdogo wangu anatarajia kuhamia Tanga kikazi na kwa hivi sasa anatafuta nyumba ya kupanga. Kwa kuwa anaanza maisha na mambo ni mengi anatafuta nyumba ya vyubma viwili vya kulala, sitting room, jiko na choo. Maeneo ya raskazone ndo anayopendelea japokuwa si mwenyeji wa Tanga anakaribisha ushauri wa maeneo mengine yanayofaa. Budget yake ni 70,000 kwa mwezi. Asanteni.
oooh kumbe Tanga nyumba kupanga bei poa namna hii!
Habari wana JF
Kuna rafiki angu anayo nyumba vyumba 3,kimoja ni masta ina choo na bafu , sebule, dining,jiko,choo,bafu,stoo, ina vyumba vya nje 3 na choo ipo barabarani kabisa,ina eneo kubwa ni nyumba za NHC na 16 Majani Mapana Tanga mjini. Kodi laki na Ishirini kwa mwezi maji yapo full time na umeme upo. kwa maelezo zaidi wasiliana nae kwa namba 0714143123, Maongezi ya Kodi yapo. mita mia kutoka barabara ya Kapico Road, ipo barabarani. Karibu CAMEL:A S clock:
Ukifanikiwa usiache kuniambia. Isitoshe hujasema huyo mdogo wako ni wa kike au wa kiume?thanks nishaiona post hii. nimechonga nae hope mambo yatakuwa sawa.
ni msichana lakini wewe si unae mama matesha?
ni msichana lakini wewe si unae mama matesha?
Hapa kama macho yangu hayajaathiriwa na tbl, basi hii thredi inazungumzia nyumba ya kupanga, tena Tanga.changamkia deal hilo
Haijalishi, sijamwelekeza duka la silaha. Aftaroo anaelewa fika kuwa figa moja haliinjiki chungu.
Habari wana JF
Kuna rafiki angu anayo nyumba vyumba 3,kimoja ni masta ina choo na bafu , sebule, dining,jiko,choo,bafu,stoo, ina vyumba vya nje 3 na choo ipo barabarani kabisa,ina eneo kubwa ni nyumba za NHC na 16 Majani Mapana Tanga mjini. Kodi laki na Ishirini kwa mwezi maji yapo full time na umeme upo. kwa maelezo zaidi wasiliana nae kwa namba 0714143123, Maongezi ya Kodi yapo. mita mia kutoka barabara ya Kapico Road, ipo barabarani. Karibu CAMEL:A S clock:
Chrispin Hujaoa?