carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
Jamani ndugu zangu wapendwa, kuna mdogo wangu anatarajia kuhamia Tanga kikazi na kwa hivi sasa anatafuta nyumba ya kupanga. Kwa kuwa anaanza maisha na mambo ni mengi anatafuta nyumba ya vyubma viwili vya kulala, sitting room, jiko na choo. Maeneo ya raskazone ndo anayopendelea japokuwa si mwenyeji wa Tanga anakaribisha ushauri wa maeneo mengine yanayofaa. Budget yake ni 70,000 kwa mwezi. Asanteni.