Nyumba ya kupanga Tanga

Nyumba ya kupanga Tanga

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
265
Jamani ndugu zangu wapendwa, kuna mdogo wangu anatarajia kuhamia Tanga kikazi na kwa hivi sasa anatafuta nyumba ya kupanga. Kwa kuwa anaanza maisha na mambo ni mengi anatafuta nyumba ya vyubma viwili vya kulala, sitting room, jiko na choo. Maeneo ya raskazone ndo anayopendelea japokuwa si mwenyeji wa Tanga anakaribisha ushauri wa maeneo mengine yanayofaa. Budget yake ni 70,000 kwa mwezi. Asanteni.
 
oooh kumbe Tanga nyumba kupanga bei poa namna hii!
 
Habari wana JF
Kuna rafiki angu anayo nyumba vyumba 3,kimoja ni masta ina choo na bafu , sebule, dining,jiko,choo,bafu,stoo, ina vyumba vya nje 3 na choo ipo barabarani kabisa,ina eneo kubwa ni nyumba za NHC na 16 Majani Mapana Tanga mjini. Kodi laki na Ishirini kwa mwezi maji yapo full time na umeme upo. kwa maelezo zaidi wasiliana nae kwa namba 0714143123, Maongezi ya Kodi yapo. mita mia kutoka barabara ya Kapico Road, ipo barabarani. Karibu CAMEL:A S clock:
 
akichelewa kupita huku hataiona, ukimPM inakuwa vizuri zaidi
 
thanks nishaiona post hii. nimechonga nae hope mambo yatakuwa sawa.
Ukifanikiwa usiache kuniambia. Isitoshe hujasema huyo mdogo wako ni wa kike au wa kiume?
 
Haijalishi, sijamwelekeza duka la silaha. Aftaroo anaelewa fika kuwa figa moja haliinjiki chungu.

hapa naona hatasumbuka na nyumba! tena atapata ya buree, ina kila kitu ndani-na ki-RAV4 gereji.
 
Habari wana JF
Kuna rafiki angu anayo nyumba vyumba 3,kimoja ni masta ina choo na bafu , sebule, dining,jiko,choo,bafu,stoo, ina vyumba vya nje 3 na choo ipo barabarani kabisa,ina eneo kubwa ni nyumba za NHC na 16 Majani Mapana Tanga mjini. Kodi laki na Ishirini kwa mwezi maji yapo full time na umeme upo. kwa maelezo zaidi wasiliana nae kwa namba 0714143123, Maongezi ya Kodi yapo. mita mia kutoka barabara ya Kapico Road, ipo barabarani. Karibu CAMEL:A S clock:

Nashuruku sana woote Best angu ameshapata mupangaji kwani sasa atakuwa amepata nyumba ya maana sana. Sasa Camel nashukuru sana na Wana JF woote waliotoa michango yao. Asanteni sana JF
 
Back
Top Bottom