Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la maji lipo nyumba ipo mbezi nyuma ya stendi ya magufuri umbali kama wa mita 700 toka stendi na bei ni 350,000/= kwa mwezi na tunaanza kupokea kuanzia miezi 6 mawasiliano.
0715 505115 na 0753505115. Nitumie ujumbe kwa WhatsApp namba 0753505115 nikutumie video.
0715 505115 na 0753505115. Nitumie ujumbe kwa WhatsApp namba 0753505115 nikutumie video.