House4Rent Nyumba ya kupangisha ipo

House4Rent Nyumba ya kupangisha ipo

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la maji lipo nyumba ipo mbezi nyuma ya stendi ya magufuri umbali kama wa mita 700 toka stendi na bei ni 350,000/= kwa mwezi na tunaanza kupokea kuanzia miezi 6 mawasiliano.

0715 505115 na 0753505115. Nitumie ujumbe kwa WhatsApp namba 0753505115 nikutumie video.

VideoCapture_20221001-121154.jpg
 
Haupo serious wewe
Ndo umeona kabisa tangazo limeisha kwa kutuwekea picha moja afu mlangoni
 
Back
Top Bottom