Nyumba ya Maajabu Masaki!

Hao Ndugu upande wa Mume walioingia wivu hadi kumuua Ndugu yao wako wapi?
Maana ulisema Familia ilimteua Kaka Mtu asimamie Mali za Nduguye, na Kaka Mtu akaendelea kumtafuta Nduguye na Familia yake hadi alipochoka na kuamua kupangisha,

Ila kwa inavyoonesha, story itaegemea kwa Mkenya.
 
I was just trying to imagine how the shape look like[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja bhna nilisoma nae dada yake .[mention]Gily [/mention] alikuwa anafanana na gily nyuma kapigwa pas iyo yakufa mtu sasa akitembea akienda mbele hujui wala akiludi nyuma hujui unashangaaa mtu huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…