johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.
Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.
Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!