Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

Ingekuwa ya mbunge wa chadema wangeenda hadi kushataki kwa wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangesema wameonewa kuna udiktata mkubwa sana nchi hii na rejea ingekuwa picha ya nyumba iliyobomolewa.
Lakini kwakuwa ni ya msukuma watasema anastahili na watafanya sherehe na kumkejeli wacha aisome namba.
Kuwa mtanzania yahitaji uvumilivu kuwaelewa wanasiasa na vyama vyao.
 
Kimara mlilipa fidia? Mbona huyu kajenga barabarani na mmemlipa. Tuanzie hapo tuache unafiki
 
Back
Top Bottom