Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

Wabunge wa CCM ndiyo vinara wa kuikwamisha Serikali yao!!

Huyu mzee wa Nyungu aka kujifukiza apewe hata ndururu !!
 
Kwani hata wewe ungekubali nyumba ya milioni 500 upewe fidia ya milioni 70.
 
Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.

Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.

Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Mkuki kwa binadamu mchungu.wakazi wa kimara dar mpo?
 
Viwanja vyenyewe walijikadilia kipindi hicho 75000 nyumba samani yake 1700000 hasala iko wapi We Jose kasheku
 
Back
Top Bottom