johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lakini unaifahamu nyumba yenyewe? Usiseme ndogo kwa kusikia kiasi tu cha pesa. Kuna nyumba nyingine hata milioni 500 ni ndogo.Million 70 ndogo sana
Aendelee kujifukizaNyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.
Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.
Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hilo nakubaliana na msemo wako; Maendeleo hayana vyama!Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70.
Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia mahakamani lakini kwa kuchelewa kwa sababu maendeleo hayatamsubiri yeye.
Nyumba hiyo na nyingine nne zimebomolewa kupisha ujenzi wa barabara
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Aendelee kujifukiza
Nchi haina hela awe mzalendo apokee hiyo 70.Million 70 ndogo sana
Wananchi wameshangilia sana!
Na wangesema ameonewaIngekuwa ya mbunge wa chadema wangeenda hadi kushataki kwa wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute kinatafutiwa chama helaIngekuwa ya mbunge wa chadema wangeenda hadi kushataki kwa wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app