Nyumba ya mchungaji Mtikila yauzwa na Bank

Watoto wanazuia kwani nyumba ni yao?
Hati imeandikwa jina la nani?

Huyo Mama ndiye Mmiliki wa hiyo nyumba. Ametoa kwa hiyari nyunba yake uwe rehani kwa huo Mkopo.
Sasa watoto wanahusikaje?

Rafiki wa mumewe? Kijana akakopa😀😆
Watu wanatumia hisia badala ya sheria. Hawajui kua waliotunga sheria walipitia scenario zinazoleta loopholes za kudanganya. Mmiliki wa nyumba anayetambulika kisheria ndiyo mwenye nguvu ya kuamua chochote. Halafu inawezekana mama akakubaliana na watoto wafanye hivyo, ili baadae likibuma wajifanye hawakuwa na habari.
 
Ndio, inawezekana. Mimi huwa simdhamini mtu kwa vyovyoye vile, iwe mkopo, polisi, mahakamani. Mwisho wa siku akipuyanga unabaki na msala.
Hapo mama wa watu hati alishaziweka rehani. 😊
Kudhubutu inahitaji ujasiri sasa huyu mama sijui aliupatia wapi
 
Kuna namna hapo! Kwa kuwa limekuwa wazi, itajulikana tuu ilikuwaje kuwaje. Juzi hapa mahakama imeamua mali za Hansi Pope zipigwe mnada.
Deni la benki lazima lilipwe mkuu. Kui "outsmart" benki huwa ni vigumu sana kwa uzoefu wangu. Hapo ili nyumba iachiwe lazima deni lilipwe kwa namna watakavyojua wao. 😊
 
Bank sina shida nao huyo mama kakiri kuweka dhamana
Shida ni yeye kuweka dhamana tena nyumba anayo ishi
 
Geogina ehee alikopa 250ml,akafeli kulipa,ongea na banki wakupe muda,uza hii ya mchikichini kuliko hiyo ya mikocheni iondoke!
 
Kuna namna hapo! Kwa kuwa limekuwa wazi, itajulikana tuu ilikuwaje kuwaje. Juzi hapa mahakama imeamua mali za Hansi Pope zipigwe mnada.
Deni la benki lazima lilipwe mkuu. Kui "outsmart" benki huwa ni vigumu sana kwa uzoefu wangu. Hapo ili nyumba iachiwe lazima deni lilipwe kwa namna watakavyojua wao. 😊
Duh mwamba hakuacha misingi kwa vijana nini maana ilisemekana alikua na ukwasi wa maana!
 
Back
Top Bottom