EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,194
- 25,535
Waandishi wengi wa nchi hii wamezoea kuandika habari za CCM. Usishangae mkuu.Uandishi wa vilaza.... By the way kwa nini wanaandishi wengi wakiandika habari wana-force kutumia ''hata hivyo''? Yaani wanailazimisha kuitumia hata sehemu ambayo hai-fit.