Nyumba ya mchungaji Mtikila yauzwa na Bank


Sahihi Kabisa
 
Watoto wanazuia kwani nyumba ni yao?
Hati imeandikwa jina la nani?

Huyo Mama ndiye Mmiliki wa hiyo nyumba. Ametoa kwa hiyari nyunba yake uwe rehani kwa huo Mkopo.
Sasa watoto wanahusikaje?

Rafiki wa mumewe? Kijana akakopa😀😆
Nilifikiri wewe ni mwelewa wa sheria, watoto ni wanufaika wa hiyo nyumba ukiuliza wanasheria watakufafanulia. Ni wazi nyumba ilitokana na baba yao pamoja na mama yao na baada ya baba yao wao pia ni sehemu ya urithi. Ni wazi mama yao aliwashirikisha lakini ili kuikomboa nyumba wanaweza kufungua kesi na kudai wao kama wahusika hawakushirikishwa.
Hizo ndizo loophole wanazotumia wanasheria.
 
Huyo mama Ni mpuz
Na mara nyingi mission kama hizo naye mkopo ukitoka anapozwa,huku akiaminishwa deni litarudi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…