Nyumba ya Mengi Yaungua...


Sawa bosi nimekusikia...
Peachtree sio....hahaha....ndio anga zangu hizo
 
Huo moto ulianza saa tano kiasi kwamba hakuna aliyekuwa amelala, sasa tuone hao forensic wa Tanzania watatuambia nini chanzo cha huo moto ingawaje tayari watu wamesema ni air condition.
 
kuna forensics hapa JF washasema nini chanzo, lakini wametuweka alert ! tutasubiri kusikia.
 
Admin,
Tafadhali tunaomba uipeleke hii thread kwenye sehemu ya NYEPESI au JOKES/UDAKU.
Wembe.
 
Iende kwenye Habari, kwani siyo udaku (nyumba ya mtu mashuhuru imeingia that is a fact) na siyo utani (kwani kama Mengi angeungua isingekuwa porojo tena!!!).. Na.. si kweli kwamba hakukuwa na mtu amelala.... kubwa ni kuwa hakuwa amelala fofofo.. si mnafahamu "fire alarms"?
 

Ahhh...

Afadhali umeambiwa kuwa ni ajali tu.... ingawa mambo ya bongo huwezi kabisa kujua kinachoendelea. Huchelewi kuambiwa jamaa wanataka kumkolimba mzee mengi....... Huyu Rostam Aziz na pesa zake hizi za wairan simwamini kabisaaaaaaaaaa
 
What about insuarance claim speculation? teh he he he.
 
Hivi mnategemea Kibopa kama Mengi awe na nyumba bila Insurance?
 
Guys kwa nini tunakuwa maspeculators kiasi hiki, sidhani kati yetu tuna enough evidence kuend kusema nani kafanya nini. At this point we know kwamba nyumba ya mengi imeungua moto. Nini chanzo cha moto, nani kawasha moto, kisa nini, nadhani ni mapema sana kufahamu hizo data zote.
so, lets stay on facts at this point.
 
Huu muda mngeutumia ku fikiri na kufanya utafiti, Tanzania ingekuwa mbali sana kiuchumi, au angalau mngeutumia kufikiria mbinu mbadala wa kuimarisha vyama vya upinzani ili Tusiwatawale (CCM) milele ingekuwa safi sana.

Taratiibu naanza kuwajua mnavyofikiri kutokana na mambo mnayochangia. No wonder mnalalamika sana, mtalalamika milele.

Udaku page 1000000000 Mambo ya maana page 1.

Good Job
 
hapo brazameni hata sijui mkuu lakini hapa ni sawa sawa na kipindi kileee tukiwa tunacheza ule mpira wa BORA LIENDE, longi kichizi shuleni Tanga, yaani ukibutua tu wee usijali wapi unaelekea wee ufuate tu ndio hapa !

Yawezekana yuko sahihi kwani sasa hivi Mfanyabiashara ni mwanasiasa pia. Kumbuka CCM ni kijiwe cha wafanyabiashara
 
Mengi survives midnight house fire

2007-10-19 10:18:42

Mengi anasema vitu vya China na India ni bomu ina maana yeye anafahamu huo moto ulianzia wapi. WTZ tajiri mkubwa Tanzania kumbe na yeye alikuwa na vitu vibovu vya kutoka India na China, - You are warned watchout!
 
Jamani kwani Mr Menghi amefanya (yaani kamuudhi kiongozi gani)nini siku za karibuni???hadi watu wahisi ni hujuma?au ni hujuma za mfanya biashara kwa mfanya biashara?
 
Jamani kwani Mr Menghi amefanya (yaani kamuudhi kiongozi gani)nini siku za karibuni???hadi watu wahisi ni hujuma?au ni hujuma za mfanya biashara kwa mfanya biashara?

Shorty, are you a 10?
 
Jamani Mengi mbona hana nyumba kinondoni hananasif?????? au wamechanganya habari. Nikweli nimesikia leo kwenye Redio kwamba Nyumba ya mengi imeungua kutokana na hitilafu ya umeme na hana mpango wa kuidai TANESCO ila BIMA yake itamlipa ktk muda mfupi tu. Ila kwa ninavyofahamu mimi Mengi hana nyumba Kinondoni Hananasifu.
 
hii si siasa.......ni habari nyepesi kwa mtazamo wangu.

maana kwa hapa siasa imeingia wapi?
 
kinachonishangaza mie ni kwanza huyo mr.Mengi tajiri wa nchi yetu kuwa na nyumba ama kulala maeneo yale..sina maana ya kukashifu watu wa kino.ila jamani tuwe wa wazi tuu mtu kama yeye??na je kulala nyumba yenye wapangaji hapo hapo ..naona kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…