kinachonishangaza mie ni kwanza huyo mr.Mengi tajiri wa nchi yetu kuwa na nyumba ama kulala maeneo yale..sina maana ya kukashifu watu wa kino.ila jamani tuwe wa wazi tuu mtu kama yeye??na je kulala nyumba yenye wapangaji hapo hapo ..naona kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia...
Lazima Manji amehusika na kuungua kwa hiyo nyumba. Afikishwe mahakamani
kwakeli,hata mimi nashangaa Mengi anakaa Kinondoni??najua ana nyumba ,Masaki,Upanga na sio hapo,jamani lakini Mungu mkubwa amenusurika
Nyumba ya Mengi Yaungua....now Nyumba ya Mengi imejaa maji ya mafuriko...nina wasiwasi na hela za huyu mzee!!!
Andika ueleweke basi.Kwa nini una wasiwasi na hela za huyu mzee?Nyumba ya Mengi Yaungua....now Nyumba ya Mengi imejaa maji ya mafuriko...nina wasiwasi na hela za huyu mzee!!!
wee acha tu, si unasikia watu wanasema manji amehusika na kuungua kwa nyumba, jamani inasikitisha watu wanamsahau Mungu wao, akisemwa Manji basi ujue nasikia udi na uvumba ccm kuwa involved, tusubiri tuone !
siasa siku hizi ipo kila sehemu babu, na tena kila mtu mwanasiasa ! na saa nyingine tunajifanya tunajua zaidi ya watu waliokuwepo madarakani, how bad is that !