Nyumba ya Mengi Yaungua...

Nyumba ya Mengi Yaungua...

kinachonishangaza mie ni kwanza huyo mr.Mengi tajiri wa nchi yetu kuwa na nyumba ama kulala maeneo yale..sina maana ya kukashifu watu wa kino.ila jamani tuwe wa wazi tuu mtu kama yeye??na je kulala nyumba yenye wapangaji hapo hapo ..naona kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia...


kwakeli,hata mimi nashangaa Mengi anakaa Kinondoni??najua ana nyumba ,Masaki,Upanga na sio hapo,jamani lakini Mungu mkubwa amenusurika
 
Tutajua mengi hapo wee acha tu maana mahubiri yao tofauti na kucheza kwao. Hapo nina wasi wasi huenda alikuwa kwa something wake halafu vijana wakaamua kutia kibiriti ili aachane na huyo something wake, bila shaka kuna mtu mbili hapo wanadata kwa mamsapu mmoja.
 
kwakeli,hata mimi nashangaa Mengi anakaa Kinondoni??najua ana nyumba ,Masaki,Upanga na sio hapo,jamani lakini Mungu mkubwa amenusurika

Nadhani kinondoni inayozungumziwa ni ya huku nyuma ya Ubalozi wa Urusi mpaka pale makaburi, kuna wazito kadhaa wana majumba maeneo yale. Vile vile inawezekana amenunua nyumba nyingine.
 
Hapa yaani kuna mtu ndio kachanganya madawa kabisa.Yule ambaye alichanganya habari ya mengi na tukio la kuungua nyumba nyingine katika maeneo ya kinondoni.Mengi aliunguliwa nyumba kivyake.Na hiyo habari nyingine nyumba iliungua kivyake.Mengi anakaa njia ya kinondoni baada ya Surrender bridge ulakata kushoto opposite na office za Knight suppost,nyuma ya Ubalozi wa urusi.Kuna kijito cha maji ndio hekaru lake liko hapo.
Breaking newz zingine ni kwamba Naibu waziri Salome Mbatia amefariki dunia.
 
Hii nyumba ya polisi iko salama kabisa, ikompale karibu na uwanja wa taifa.
 

Attachments

  • NYUMBA YA POLISI.JPG
    NYUMBA YA POLISI.JPG
    398.8 KB · Views: 107
Nyumba ya Mengi Yaungua....now Nyumba ya Mengi imejaa maji ya mafuriko...nina wasiwasi na hela za huyu mzee!!!
 
Nyumba ya Mengi Yaungua....now Nyumba ya Mengi imejaa maji ya mafuriko...nina wasiwasi na hela za huyu mzee!!!
Andika ueleweke basi.Kwa nini una wasiwasi na hela za huyu mzee?
 
wee acha tu, si unasikia watu wanasema manji amehusika na kuungua kwa nyumba, jamani inasikitisha watu wanamsahau Mungu wao, akisemwa Manji basi ujue nasikia udi na uvumba ccm kuwa involved, tusubiri tuone !

siasa siku hizi ipo kila sehemu babu, na tena kila mtu mwanasiasa ! na saa nyingine tunajifanya tunajua zaidi ya watu waliokuwepo madarakani, how bad is that !

Wapi rafiki yangu KadaMpinzani bana? Rudi bana.
 
Back
Top Bottom