Nyumba ya msonge, nimeipenda

Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.
 
Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.
Ewaa,halafu mnalala humo na mifugo. Kitu kingine cha ziada wakati wa mvua kama hakuna kuni inatolewa nguzo moja inapasuliwa na maisha yanaendelea. Wewe utakuwa unatokea either mkoa mmojawapo kaskazini au mkoa mmojawapo kanda ya ziwa,maana sehemu nyingine hizi nyumba hata hawazijui ila wazee watu walikuwa real architects kwa ubunifu ule.
 
Baada ya kuwaza kupiga hatua tunawaza kurudi nyuma ndio maana wazungu wanatupiku sana
Wazungu wanajenga tiny house sasa hivi , wazungu wanauza nyumba na kununua magari aina ya van na kuyafanyia modification wanaishi humo . wazungu hawaoni humuhimu wa nyumba kubwa unless huko na big family. Hao wazungu wa wapi unaongelea
 
Kwani mimi nimeongelea nyumba kubwa hapo au umekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…