Nyumba ya msonge, nimeipenda

Nyumba ya msonge, nimeipenda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1652086674119.png

1652086760415.png

1652086804769.png
 
Sisi tuliolelewa na kukulia kwenye nyumba hizo tena za asili acha kabisa hiyo ni nyumba nzuri mno. Mnalala na mifugo yenu ndani na hamna shida,jiko ndani na kuna vyumba vya kutosha. Hainaga baridi msonge. Du wababu zetu waliokuwa wakijenga nyumba hizo walikuwa mafundi kwelikweli nyumba inajengwa kuanzia juu kuja chini. Hilo nalo ni ajabu la 9 duniani.
Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.
 
Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.
Ewaa,halafu mnalala humo na mifugo. Kitu kingine cha ziada wakati wa mvua kama hakuna kuni inatolewa nguzo moja inapasuliwa na maisha yanaendelea. Wewe utakuwa unatokea either mkoa mmojawapo kaskazini au mkoa mmojawapo kanda ya ziwa,maana sehemu nyingine hizi nyumba hata hawazijui ila wazee watu walikuwa real architects kwa ubunifu ule.
 
Baada ya kuwaza kupiga hatua tunawaza kurudi nyuma ndio maana wazungu wanatupiku sana
Wazungu wanajenga tiny house sasa hivi , wazungu wanauza nyumba na kununua magari aina ya van na kuyafanyia modification wanaishi humo . wazungu hawaoni humuhimu wa nyumba kubwa unless huko na big family. Hao wazungu wa wapi unaongelea
 
Kwani mimi nimeongelea nyumba kubwa hapo au umekurupuka
 
Back
Top Bottom