Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tuliolelewa na kukulia kwenye nyumba hizo tena za asili acha kabisa hiyo ni nyumba nzuri mno. Mnalala na mifugo yenu ndani na hamna shida,jiko ndani na kuna vyumba vya kutosha. Hainaga baridi msonge. Du wababu zetu waliokuwa wakijenga nyumba hizo walikuwa mafundi kwelikweli nyumba inajengwa kuanzia juu kuja chini. Hilo nalo ni ajabu la 9 duniani.
Liveng big in a tiny house,
Design yake ni simple na nzuri ina kila kitu cha muhimu ndani🙌
Ingawa hiyo ramani haiendani na kilichojengwa hasa hapo kwenye location ya milango, ila floor plan yake ni nzuri sana
Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.Sisi tuliolelewa na kukulia kwenye nyumba hizo tena za asili acha kabisa hiyo ni nyumba nzuri mno. Mnalala na mifugo yenu ndani na hamna shida,jiko ndani na kuna vyumba vya kutosha. Hainaga baridi msonge. Du wababu zetu waliokuwa wakijenga nyumba hizo walikuwa mafundi kwelikweli nyumba inajengwa kuanzia juu kuja chini. Hilo nalo ni ajabu la 9 duniani.
Ewaa,halafu mnalala humo na mifugo. Kitu kingine cha ziada wakati wa mvua kama hakuna kuni inatolewa nguzo moja inapasuliwa na maisha yanaendelea. Wewe utakuwa unatokea either mkoa mmojawapo kaskazini au mkoa mmojawapo kanda ya ziwa,maana sehemu nyingine hizi nyumba hata hawazijui ila wazee watu walikuwa real architects kwa ubunifu ule.Ninakumbuka ya kwetu ilikatwa katikati upande wa pili chumba cha kulala na upande uliobaki ndiyo jiko na sebule hapo hapo. Jiko mnapika kwa kuni.
Hii ni nyumba au ni tanki la maji??🤕🤒 Nasikia nyumba kama hii wakati wa masika unaweza ukatoa paa ukaigeuza kuwa tanki la maji🤣😅😁😁😁😂 tena kama hili linaweza kuhudumia kata nzima
Wazungu wanajenga tiny house sasa hivi , wazungu wanauza nyumba na kununua magari aina ya van na kuyafanyia modification wanaishi humo . wazungu hawaoni humuhimu wa nyumba kubwa unless huko na big family. Hao wazungu wa wapi unaongeleaBaada ya kuwaza kupiga hatua tunawaza kurudi nyuma ndio maana wazungu wanatupiku sana
Kwani mimi nimeongelea nyumba kubwa hapo au umekurupukaWazungu wanajenga tiny house sasa hivi , wazungu wanauza nyumba na kununua magari aina ya van na kuyafanyia modification wanaishi humo . wazungu hawaoni humuhimu wa nyumba kubwa unless huko na big family. Hao wazungu wa wapi unaongelea