Nina aleji na hao mataga.Kuw mzalendo kwa cc wanacham wenzio
[emoji3047][emoji32][emoji1783]
Kwa maana hiyo tukuchoree na ramani ndipo tukufanyie na BOQ?- Habari wajenzi
Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha
Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single room 2 + public toilet ndani, na sehemu ya kula
Location :- WILAYAN KIBAHA (AROUND MITAA YA HALMASHAUR YA WILAYA YA KIBAHA
BAJET :- 21.9
Uwanja tayar nishaulipia.
NAOMBA SIMPLE BREAK DOWN YA HIKO KIASI NAWEZ FANYA UJENZ NA KUKAMILISHA KWA ASILIMIA NGAPI.
Naomba tusi complicated sana ni nyumba ya upauaji wa kawaida. Nko mezan nasubr data zenuView attachment 2810407
Nawe hujasoma ukajiandikia kwa kujiamini?mkoa Gani..... tathmini inategemea na nature ya eneo
Bongo raha sanaHii unahamia kabisa, full tiles, na aluminium windows
Hadi electric security fence atakua kashaweka Mpaka CCTV anaua kabsaa pesa nyingi sana iyo ujueHii unahamia kabisa, full tiles, na aluminium windows
- Habari wajenzi