TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
- Habari wajenzi
Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha
Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single room 2 + public toilet ndani, na sehemu ya kula
Location :- WILAYAN KIBAHA (AROUND MITAA YA HALMASHAUR YA WILAYA YA KIBAHA
BAJET :- 21.9
Uwanja tayar nishaulipia.
NAOMBA SIMPLE BREAK DOWN YA HIKO KIASI NAWEZ FANYA UJENZ NA KUKAMILISHA KWA ASILIMIA NGAPI.
Naomba tusi complicated sana ni nyumba ya upauaji wa kawaida. Nko mezan nasubr data zenu