Wala sio magoli ndio ukweli. Mkapa ndio muhusika.Acheni huu ujinga wakuhamisha magoli kama alikuwa haafiki mbona hakujiudhuru
na mbona sasa amekuwa Rais umeshawahi kumsikia akiongelea hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haendi magomeni pale....Ukimsikiliza Lukuvi inaonekana wachawi wa Mambo yote wapi pia wizara anayoiongoza.
Angetambaa mpaka Ardhi magomeni Wana njaa Sana wale Land valuer na wapima . Kazi haifanyiki wanasingizia Mara viwanja havijaingizwa kwenye master plan ili mradi uwape rushwa katika wizara inabidi wafungiwe CCTV camera Kama nyenzo ya kupima ufanisi ni Ardhi Magomeni. Wanaendekeza njaa Sana.
Waziri nadhani unafahamu kwamba wizara yako I a shida kubwa inabidi mpaka makamishna unawaowateua wawe Wana inspect kazi huku wilayani wananchi tunasumbuka Sana na rushwa haki yetu tunazungushwa mpaka tujiongeze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba zote za serikali 'walizogawiana' zirudushwe, naona hapa wanaotafutwa ni wale ambao wanataka kuwaondoa ktk kichanganyiro cha uchaguzi ccm 2020.
Ofcoz unaondoa hizo hoja, kama Ni mkuu wake alimwambia uza hizo nyumba, angekataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana,huyu lukuvi anajitahidi Sana kwskweli
Kunakuondolea in a wayHata kama ukiamrishwa kutenda kitu na kikasababisha hasara. Mkuu wako anawajibika moja kwa moja ila wewe uliyeamrishwa haikuondolei kuwajibika pia
Nyumbu kweli haachi kuwa nyumbu na nyumbu ameshindwa kusoma na kuelewa kitabu cha Raisi Msaafu wa awamu ya 3 Che Mkapa .
Waziri husika hana maamuzi ya uuzwaji wa Nyumba za Serikali bali Raisi wa Nchi, na kuhusiana na hili jambo likianzia kwa Mr Zero aliye mwambia Che Mkapa kwamba oysterbay itakuwa ya wazungu n.k , ndipo Waziri husika alipotakiwa kuwasilisha cabinet paper on the issue. Na baraza la mawaziri kukubaliana hata kama kuna wachache ambao hawa kuona kama ni sawa au muda wa kupitia hiyo paper ulikuwa kifupi.
In a way tukubaliane kutokubaliana
Somo la responsibility kwa Afrika tuko nyuma sana
Naona unaendelea kuongea kinyumbu nyumbu, wewe boss wako akisaidiwa na waziri mkuu wameisha toa maamuzi wewe ni nani kwenda kinyume cha huo uamuzi na je unakumbuka kigezo au vigezo vyao vilikuwa nini?..utetezi wako hauna mashiko.
..kama alikuwa hahusiki wizara yake isingeandaa CABINET PAPER na yeye kuiwasilisha kwa mawaziri wenzake.
..pia baada ya cabinet kuamua, kwa kushawishiwa na cabinet paper, alisimamia uuzwaji wa nyumba kwa BEI YA KIFISADI.
..Na ktk kipindi hicho alitoa maelezo ya UONGO ktk vikao vya BUNGE kwamba serikali ilikuwa inapata FAIDA kutokana na zoezi la kuuza nyumba alilokuwa akilisimamia.
Naona wewe uko mbele sana kwenye somo la responsibility. HongeraIn a way tukubaliane kutokubaliana
Somo la responsibility kwa Afrika tuko nyuma sana
Mkuu kuna nyumba moja ya Bandari inatazama bahari kule upande wa Sea cliff imeuzwa miaka ya late sana(2006) alikuwa akiishi Mzee mwambenja inataza cliff.
Na huku chole road zile nyumba za Bandari walikuwa wakiishi kina marehemu mzee Lukuba ziko vizuri.
Hatari ni nyumba za Posta mzee kule mtaa wa Chakechake na IST pale opposite Village supermarket. Doesnt make any sense kuuzwa zile nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi ya baraza la mawaziri, wanataka haukumiwe mmoja?alikuwepo rais,waziri mkuu.na mawaziri wengine!ujinga wa Africa ukipinga hata ndani ya kikao..utashughulikiwa nje ya kikao
Una ushahidi ?Inanikumbusha LIJIZI la Magogoni JPM lilihonga hizi nyumba. MAMMAAEEE! MaCCM yote MIJIZI
Hivi kipindi hicho aliamka tu na kwenda kuuza tu...?! Hakukuwa na makubaliano na baraza la mawaziri...?! Je Rais alikuwa hajui...?! Waziri mkuu hakufahamu...?!..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Hivi kipindi hicho aliamka tu na kwenda kuuza tu...?! Hakukuwa na makubaliano na baraza la mawaziri...?! Je Rais alikuwa hajui...?! Waziri mkuu hakufahamu...?!
Sent using Jamii Forums mobile app