Ukimsikiliza Lukuvi inaonekana wachawi wa Mambo yote wapi pia wizara anayoiongoza.
Angetambaa mpaka Ardhi magomeni Wana njaa Sana wale Land valuer na wapima . Kazi haifanyiki wanasingizia Mara viwanja havijaingizwa kwenye master plan ili mradi uwape rushwa katika wizara inabidi wafungiwe CCTV camera Kama nyenzo ya kupima ufanisi ni Ardhi Magomeni. Wanaendekeza njaa Sana.
Waziri nadhani unafahamu kwamba wizara yako I a shida kubwa inabidi mpaka makamishna unawaowateua wawe Wana inspect kazi huku wilayani wananchi tunasumbuka Sana na rushwa haki yetu tunazungushwa mpaka tujiongeze.
Sent using
Jamii Forums mobile app