DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hili sakata la uuzaji nyumba kiholela halimhusu baba jesika?Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemtaka mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI amemuhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia swala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.
Source ITV habari!
Inanikumbusha LIJIZI la Magogoni JPM lilihonga hizi nyumba. MAMMAAEEE! MaCCM yote MIJIZI
Unao ushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
Gazeti gani?..magazeti yaliandika kwa kirefu na uwazi.
..na wahusika hawakukanusha.
..jamaa alipiga. Ni LIJIZI.
Wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani, kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu.. Kwani yalikuwa maamuzi yake binafsi.. wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna ufisadi..? Hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d.....Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?
..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Gazeti gani?
Nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. Unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa..nadhani Rai au Raia Mwema.
..hii habari imezungumziwa kwa kirefu na haina ubishi kuwa ni upigaji na ufisadi.
..nyumba na viwanja vilikuwa vya thamani kubwa na wahusika wakaamua kujitoa akili na kuuziana kwa bei za kijinga-jinga.
wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...
HATA UKILITETEAJE JAMAA HALISAFIKIUnaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
Ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri, sio wa mtu mmoja(JPM) waziri mkuu alikuwa Sumaye..nadhani Rai au Raia Mwema.
..hii habari imezungumziwa kwa kirefu na haina ubishi kuwa ni upigaji na ufisadi.
..nyumba na viwanja vilikuwa vya thamani kubwa na wahusika wakaamua kujitoa akili na kuuziana kwa bei za kijinga-jinga.
Hahahaaaa........ Naona bwashee umerithi mikoba ya Ngabu!Una kichwa kibovu sana. Jikite kwenye mada ya ufisadi.. essense ni ufisadi. Why persecution, selective prosecution? why?
Nataka nipate ukweli. Sitetei mtu.HATA UKILITETEAJE JAMAA HALISAFIKI
Umesoma kitabu cha B. W. Mkapa?..tunapozungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali yeye ndiye FISADI MKUBWA kuliko wote.
..tena alidanganya bungeni kuwa serikali itapata faida na mapato ya kujenga nyumba nyingi zaidi.
..na alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali nchi nzima kwa bei ya kutupa / hasara.
nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa
Waziri anaweza kuuza nyumba za serikali?!..muasisi wa ufisadi wa kuuza nyumba za serikali ni Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Umesoma kitabu cha B W Mkapa?
Waliompiga T. Lissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zao zinafananaje basi.. amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. Sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei.. Wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba..hivi kwa mfano vijana waliompiga Tundu Lissu risasi.
..Je, hawawajibiki kwa makosa yao kwasababu walitumwa na wakubwa fulani?
..Kwenye UFISADI wa kuuzaji nyumba kila aliyehusika atawajibika kwa nafasi yake.
..Magufuli analaumiwa kwasababu yeye ndiyo alikuwa waziri mwenye dhamana na mtekelezaji wa zoezi zima la kifisadi.
Waziri anaweza kuuza nyumba za serikali?!