Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemtaka mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.

Naye DCI amemuhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia swala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo mbilu zinarudi serikalini.

Source ITV habari!
Hili sakata la uuzaji nyumba kiholela halimhusu baba jesika?
 
Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
Unao ushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.
 
Unaoushahidi direct kuwa mahawara waligawiwa kama njugu? Ninaposema ushahidi direct maana yake uliona jinsi walivyogawiwa, uliona jinsi hati zilivyosajiliwa na mpaka sasa hivi unafahamu mahali hizi nyumba zilipo. Au unaongea kwa chuki tu.

..magazeti yaliandika kwa kirefu na uwazi.

..na wahusika hawakukanusha.

..jamaa alipiga. Ni LIJIZI.
 
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani, kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu.. Kwani yalikuwa maamuzi yake binafsi.. wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna ufisadi..? Hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...
 
..nadhani Rai au Raia Mwema.

..hii habari imezungumziwa kwa kirefu na haina ubishi kuwa ni upigaji na ufisadi.

..nyumba na viwanja vilikuwa vya thamani kubwa na wahusika wakaamua kujitoa akili na kuuziana kwa bei za kijinga-jinga.
Nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. Unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa
 
wewe kwenye mambo serious unaleta utani, jinga sana. Magufuli aliuza nyumba chini ya maelekezo ya nani,kama sio baraza la mawaziri na waziri Mkuu..kwani yalikuwa maamuzi yake.binafsi..wapi kwenye report za CAG kulionekana kuna.ufisadi..? hivi inawezekana kweli Magufuli alikuwa akijipangia bei za kila nyumba..acheni chuki binafsi st.u..pi..d...

..hivi kwa mfano vijana waliompiga Tundu Lissu risasi.

..Je, hawawajibiki kwa makosa yao kwasababu walitumwa na wakubwa fulani?

..Kwenye UFISADI wa kuuzaji nyumba kila aliyehusika atawajibika kwa nafasi yake.

..Magufuli analaumiwa kwasababu yeye ndiyo alikuwa waziri mwenye dhamana na mtekelezaji wa zoezi zima la kifisadi.
 
..nadhani Rai au Raia Mwema.

..hii habari imezungumziwa kwa kirefu na haina ubishi kuwa ni upigaji na ufisadi.

..nyumba na viwanja vilikuwa vya thamani kubwa na wahusika wakaamua kujitoa akili na kuuziana kwa bei za kijinga-jinga.
Ulikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri, sio wa mtu mmoja(JPM) waziri mkuu alikuwa Sumaye
 
..tunapozungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali yeye ndiye FISADI MKUBWA kuliko wote.

..tena alidanganya bungeni kuwa serikali itapata faida na mapato ya kujenga nyumba nyingi zaidi.

..na alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali nchi nzima kwa bei ya kutupa / hasara.
Umesoma kitabu cha B. W. Mkapa?
 
nani alipanga bei kwani..au kila mtu alikuwa anajipangia..labda tueleze mfumo mzima wa utaratibu ulikuwaje kama kweli ulikuwa ukifuatilia..kwanza nawasiwasi ulikuwa hata hujazaliwa kipindi hicho. unatuptesea muda wetu tu kwa kukaririshwa taarifa

..Wizara ya ujenzi ndiyo waliopanga bei za hasara.

..Na Magufuli ndiyo alikuwa waziri wakati huo.
 
..hivi kwa mfano vijana waliompiga Tundu Lissu risasi.

..Je, hawawajibiki kwa makosa yao kwasababu walitumwa na wakubwa fulani?

..Kwenye UFISADI wa kuuzaji nyumba kila aliyehusika atawajibika kwa nafasi yake.

..Magufuli analaumiwa kwasababu yeye ndiyo alikuwa waziri mwenye dhamana na mtekelezaji wa zoezi zima la kifisadi.
Waliompiga T. Lissu anawajua yeye mwenyewe na dereva wake aliyemficha nadhani..aje polisi atoe ushahidi atuambie hata sura zao zinafananaje basi.. amebaki anarukaruka kama kishada kwenye nchi za watu tu.. Sijawahi sikia kashfa ya uuzaji wa nyumba kuhusiana na bei.. Wengi wanalalamikia maamuzi tu ya kuamua kuuza nyumba za serikali labda hayakuwa maamuzi sahihi kwa wakati ule..huo ni mtazamo wa nje huku sisi wananchi..lakini inawezekana kwa mtazamo wa ndani wa serikali inawezekana walikuwa na sababu za msingi. za kwanini. walifanya.hivyo..sawa jomba
 
Back
Top Bottom