nyemenowa tindamanyile
Member
- Jan 28, 2022
- 42
- 43
Moja ya vigezo vya kujenga juu ya mfinyanzi ni kuimarisha msingi. Ni kuanza na zege lenye nondo- bimu. Pia hata kozi ya madirisha kupitisha bimu na kumaliza na bimu ya juu. Hata paa, epuka mgongo wa tembo maana upepo uyatikisa mapaa hayo hivyo kuleta mvutano kwenye kuta. Kuali gharama iww nyumba ya maisha marefu.Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi).
Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.