Moja ya vigezo vya kujenga juu ya mfinyanzi ni kuimarisha msingi. Ni kuanza na zege lenye nondo- bimu. Pia hata kozi ya madirisha kupitisha bimu na kumaliza na bimu ya juu. Hata paa, epuka mgongo wa tembo maana upepo uyatikisa mapaa hayo hivyo kuleta mvutano kwenye kuta. Kuali gharama iww nyumba ya maisha marefu.