Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

Mkuu pole sanaa, ila kwa uzoefu tu, ni kwamba wewe unapaswa kuwasiliana na NMB ili mkalijadili ilo swala kwakua lina jadilika na uwaambie kuanzia sasa wewe ndio unachukua jukumu la kuulipa mkopo huo, waambie wewe una interest na nyumba hio kwakua ni yako, na hapa mtaelewana, na hii njia imewasaidia wengi tu, wengine mpaka wanaongezewaga muda.

Ila endapo jamaa watakua wako serius wamedhamilia kuuza basi utakua hauna budi kwenda kufungua kesi ya msingi dhidi ya madai tajwa na kuweka zuio la muda mahakamani chini ya hati ya dharula kuzuia kuuzwa kwa nyumba hio ukiwa na sababu kuu tatu ambazo ni;

1. Hasara utakayoipata baada ya kuuzwa hio nyumba ni hailipiki kwa namna moja au nyingine.

2. Una sababu za msingi sanaa za kuzuia nyumba hio kuuzwa kwakua ikiondoka itasababisha maafa makubwa.

3. Tayari umefungua kesi ya msingi dhidi ya swala ilo ivyo unaomba kuzuia nyumba hio ambayo ni sehemu ya kesi uliyoifungua isiuzwe.

Mengine watafte wanasheria walio karibu yako wakusaidie kama utaona mlolongo unakua mrefu zaidi.
 
Kama Baba yako alichukua hati yako akapeleka Bank akapewa Mkopo bila ya Wewe kuidhinisha kwa Maandishi kuridhia hati yako kutumika basi relax, Wewe ndio utalipwa gharama za usumbufu na hao NMB




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajua nimabaya mno kwake basi lipa deni ndugu, 7M ni ndogo sana wals usimsumbue babaako, kama hauna hela kakope ulipe deni.
It's almost about 7M. Kwa haraka haraka niliwaza kuwauzia CRDB hili Deni ili nianze kukatwa kwenye mshara wangu. Nawaza kufanya hivi coz mshua Mambo Ni mabaya mno kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yako Hawezi kukopea nyumba yako bila ww kujua ikiwa hivyo maana yake kuna jinai ndani yake unaweza kuwashtaki baba pamoja na nmb na ukapata mpunga wa maana sana..........
 
Wahi nawe ukajipange kuinunua siku hiyo ya mnada! vinginevyo nenda kaweke pingamizi mahakamani!
 
Back
Top Bottom