Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

Mkuu hii picha umedownload wapi nilishawai kuiona kwenye mitandao
 
Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF hali ni mbaya kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa nimeshindwa kuelewa nifanyaje
Rushia na hiyo simu unayopigia selfie kwenye moto, tuone kama nayo itaungua
 
Nyumba itaungua lakini kiwanja kitabaki..

uza kiwanja kajipoze maumivu ya kuunguliwa nyumba
 
Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF.

Hali ni mbaya, kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba, ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani.

Naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa, nimeshindwa kuelewa nifanyaje!

Naona thamani ya simu yako ni kubwa kuliko pesa ulizoziacha ndani ziteketee, ushauri wangu kwako iuze hiyo simu kwa mnada hapohapo eneo la tukio utapata pesa ya kujenga na kuoa mke mwingine.
 
images (5).jpeg
 
Vizee vya 2050 vya hovyo kweli.
 
Mnatafuta laana bure nyumba ya mtu inaungua badala ya kutoa msaada wewe unafurahi na kujipiga picha asubuhi yake unaamka mapema kumpa pole jirani yako....
 
Back
Top Bottom