Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

Umejaribu kuuliza moto wenyewe unasemaje?
 
Kama nyumba yako imeshaungua yote nitafute nikupe pesa ya kujenga nyumba mpya.
Umefanya vizuri sana kutouzuia moto kuunguza nyumba yako.
 
Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF.

Hali ni mbaya, kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba, ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani.

Naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa, nimeshindwa kuelewa nifanyaje!

Picha hazitoshi, tuma na za ndani...
 
Ingia na wewe uteketee mkuu!
Maisha yenyewe haya hayaeleweki nchi imeuzwa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…