Bwege2030 Member Joined May 10, 2025 Posts 97 Reaction score 197 Apr 2, 2026 #1 Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi? Attachments IMG_20260401_214722.jpg 66.6 KB · Views: 35
Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
kingkimwe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 1,973 Reaction score 2,647 Apr 2, 2026 #2 Hahaha hizo tofali si itabidi fundi ahamie hapo hapo kwa miaka mitatu ndo amalize hiyo mzee😅 Jengea block bhana
Hahaha hizo tofali si itabidi fundi ahamie hapo hapo kwa miaka mitatu ndo amalize hiyo mzee😅 Jengea block bhana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 3, 2026 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Kicheche mkali JF-Expert Member Joined Nov 3, 2021 Posts 290 Reaction score 266 Apr 3, 2026 #4 Bwege2030 said: Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi? Click to expand... Kama ungekuwa unatumia
Bwege2030 said: Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi? Click to expand... Kama ungekuwa unatumia
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,764 Reaction score 3,230 Apr 6, 2026 #5 Tuma Details kwenye DM
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Apr 6, 2026 #6 800,000