Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

Nyumba za 60m zinaweza kuleta 2m kila mwezi kama kodi?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Wenye kuwekeza uzoefu na ujuzi kwenye real estate bussiness ni kweli 60m naweza kujenga rentals za kunipa 2m per months kama kodi, kiwanja kipo dar es salam maeneo ya Goba.
Nijengo la aina gani ambalo linaweza kuleta faida hiyo chumba sembure au vyumba self. Au compelete house, frames haizekani sio sehemu sahihi.
 
Ni Ujenzi wa Nyumba,unaweka kila kitu ndani,unakodisha kwa siku kwa bei husika,isipokua unaiweka ktk Platform ambayo mgeni au mzawa anaweza kubook
Inakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu
 
Back
Top Bottom