Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sina uzoefu kwenye ujenzi ila kwa hiyo hela sidhani kama inatoshaNdiyo vyumba 10 na parking inapatikana ila 60m zitaweza kusimamia huo ujenzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uzoefu kwenye ujenzi ila kwa hiyo hela sidhani kama inatoshaNdiyo vyumba 10 na parking inapatikana ila 60m zitaweza kusimamia huo ujenzi?
Inakuwa kama uber au bolt ukirequest unapata location ya nyumba bei kwa siku nk ni kama nyumba ya kupanga kulingana na siku utakazoInakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu
Kuna app zao au ndo zimeanza kujulikana hapa Tz, kama kuna app zao ni bora sanaa, ujenge self nzuri tano na furniture uziweke mtandaoni huenda zikalipa sanaa.Inakuwa kama uber au bolt ukirequest unapata location ya nyumba bei kwa siku nk ni kama nyumba ya kupanga kulingana na siku utakazo
Mkuu huku ni impossible haya maeneo yalisha jengeka wazee wetu walisha chukua maeneo, sasa sisi generation yetu nikua na viwanja kibaha tegenta kigamboni goba nkfactor kubwa ya kupanga nyumba kwa kodi kubwa ni location.
milioni 60 ukijenga vyumba master maeneo ya kurasini, sinza, ubungo, mwenye, kinondoni una uwezo wa kupata kodi zaidi ya milioni 3 kwa mwezi.
isababu kuu ni location ina wateja wengi
Zipo bongo.Kuna app zao au ndo zimeanza kujulikana hapa Tz, kama kuna app zao ni bora sanaa, ujenge self nzuri tano na furniture uziweke mtandaoni huenda zikalipa sanaa.
Lengo la mtandao wa airbnb sio ku target wamakonde waliokuzunguka tu, ni kumjulisha kila mtu aliyepo duniani kuwa una nyumba anayoweza kufikia na kufanya shughuli zake kwa siku kadhaa ila unamkodishia kwa kiasi fulani. Locals wengi hupenda kutumia hizi nyumba kama sehemu ya kufanyia starehe tu ama kupata faragha ya mapumziko. Mtu anaweza kuwa anaishi mwenge akatafuta nyumba ya airbnb iliyoko goba aka chill yeye binafsi ama na washkaji zake wakale bata tu.Inakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu
Chumba cha self cha 6m labda usiwe tiles gipsum feni na sink hizo 6m sidhani mkuu we angalia tu madilisha mawoli ya aliminium pamoja na milago miwili ya choo na wa chumba tayari 3m inakatika.Hapo uwe na kiwanja tayari - eneo liwe marketable kwa watu kupanga.
Mil 60 ukijitahidi sana kusimamia utatumia 6m kwa chumba choo - Kwa hiyo utapata room 10.
KIla room utakodisha kwa 120,000 hadi 130,000 kwa mwezi.
Kwa hiyo mdugu max you can get ni 1.3m kwa mwezi.
500,000*12=6M*10yrs=60MHapo utapata maximum 500,000 Kwa mwezi
Ni kweli hilo linawezakana ila faida ndogo sana 60m kunipa 1m kila mwenzi tena kuna mantainance ya nyumba nk.Labda milioni Moja kwa mwezi kwa location za goba,madale tegeta kimara unawezajenga nyumba yenye Four in one familia nne ndani ya nyumba Moja kila mmoja anajitegemea geti lake.inakuwa vyumba viwili vya kulala choo bafu na master Moja na jiko na sebule.
Laki 5 chumba kimoja?Kama unaweza kujenga vyumba 4 self vitakavyokuwa vinakuletea 500k kila kimoja kwa mwezi, basi 2M utaipata
Naomba unielekeze app zao ni jifunze zaidi naona ni bonge la fursa.Zipo bongo.
Diaspora wanazijenga sana Arusha na maeneo yanayopokea wanafunzi wa kizungu wanaokuja field bongo miezi miwili au mitatu
Nmeishangaa pia hyo commentLaki 5 chumba kimoja?