Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kama kuna uhitaji tengeneza lodge and guest house
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alipie chumba self kwa 500k, sehemu yenyewe Goba?Kama unaweza kujenga vyumba 4 self vitakavyokuwa vinakuletea 500k kila kimoja kwa mwezi, basi 2M utaipata
Airbnb kwa mwezi mzima unaweza pata wateja kwa siku 7 tu, kukata mwezi bila wateja inawezekana. Alafu maintenance cost ya Airbnb ni kubwa sana, kila siku wanaingia wavuta shisha, mashoga, wasagaji, wapenzi, wazinzi, wahuni, matapeli na wachache ndio raia wema hapa kibongobongo. Hao kuvunja na kufanya uharibifu ni rahisi tu, si anakaa siku mbili tatu.Sio lazima iwe beach kiongozi ila eneo pia linachangia
Mfano kama una kiwanja tayari maeneo kama mikocheni kigamboni etc unaweza kujenga nyumba 2 ukaweka airbnb kwa $75 kwa siku @ ndani ya mwaka miaka 2 unakuwa upo pazuri
In short term huwez recover au break even hio investment ako, hardly ni 400k per monthWenye kuwekeza uzoefu na ujuzi kwenye real estate bussiness ni kweli 60m naweza kujenga rentals za kunipa 2m per months kama kodi, kiwanja kipo dar es salam maeneo ya Goba.
Nijengo la aina gani ambalo linaweza kuleta faida hiyo chumba sembure au vyumba self. Au compelete house, frames haizekani sio sehemu sahihi.
Nilivyosema kwa mwaka siku maanisha kwamba kila siku itakuwa inajaaAirbnb kwa mwezi mzima unaweza pata wateja kwa siku 7 tu, kukata mwezi bila wateja inawezekana. Alafu maintenance cost ya Airbnb ni kubwa sana, kila siku wanaingia wavuta shisha, mashoga, wasagaji, wapenzi, wazinzi, wahuni, matapeli na wachache ndio raia wema hapa kibongobongo. Hao kuvunja na kufanya uharibifu ni rahisi tu, si anakaa siku mbili tatu.
Unavyopiga hesabu ya mwaka sivyo.
Huo ndio ukweli au pungufuHapo utapata maximum 500,000 Kwa mwezi
Hadi milioni mojaHapo utapata maximum 500,000 Kwa mwezi
Hapo unataka mtu alipe 180,000 per day kwa chumba ambacho bado hajapika, kipo Goba ndanindani uko ambapo bado hajasafiri. Wakati muda huohuo angechukua 4 star hotel akalala juu na akiwa na breakfast na sehemu ya karibu kufikika. Ngumu kiasi chakeNilivyosema kwa mwaka siku maanisha kwamba kila siku itakuwa inajaa
Siku 7 kwa mwezi kwa nyumba 2 za $75 kwa siku bado ni pesa nzuri tuu
Sijasema chumba bali nyumbaHapo unataka mtu alipe 180,000 per day kwa chumba ambacho bado hajapika, kipo Goba ndanindani uko ambapo bado hajasafiri. Wakati muda huohuo angechukua 4 star hotel akalala juu na akiwa na breakfast na sehemu ya karibu kufikika. Ngumu kiasi chake
Bond za serikali zinasoma 12%Iweke kwenye government bonds ya 25yrs ambayo riba yake Ni 15.26% kwa mwaka. Tumia bond kopa mkopo around 80% benki Jenga nyumba. Anza kula Kodi ya nyumba, na like gawio la bond litalipa mkopo. At the end utakuwa na nyumba na iyo 60M bado utakuwa nayo ukiweka na inflation factor labda inaweza ikawa Ni 35-45M for time to come
Hii inafaa mtu ambae ana mishemishe nyingi huna mda wa kusimamia uwekezaji. Na risk ni ndogoUkiweka UTT Liquid Fund hapo unakunja 600k kwa mwezi😂
Za miaka mingapi hizo na za miaka 25 Zina ngapiBond za serikali zinasoma 12%
Bond za serikali zinasoma 12%
Nimepitia comment nyingi...hapa Jamaa umetumia akili Mingi sanaIweke kwenye government bonds ya 25yrs ambayo riba yake Ni 15.26% kwa mwaka. Tumia bond kopa mkopo around 80% benki Jenga nyumba. Anza kula Kodi ya nyumba, na like gawio la bond litalipa mkopo. At the end utakuwa na nyumba na iyo 60M bado utakuwa nayo ukiweka na inflation factor labda inaweza ikawa Ni 35-45M for time to come
Wabongo maskini wapo ila kwenye pesa za starehe wengi wanazo mkuu wala hata usitilie shaka. Maana airbnb hapo target ni usafi tu na privacy. Nyumba ikiwekwa online ukawa ume set mauzo yako yawe weekends unapiga pesa vizuri tu. Tena gharama wala isiwe kubwa ili hata watoto wa chuo wawe wanamudu.Inakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu