- Thread starter
- #41
Nimesha kusoma mkuu kama Ulaya nilishawshi kuziona hizo ebu nizifustilie zaidi kama soko linaeleweka.Lengo la mtandao wa airbnb sio ku target wamakonde waliokuzunguka tu, ni kumjulisha kila mtu aliyepo duniani kuwa una nyumba anayoweza kufikia na kufanya shughuli zake kwa siku kadhaa ila unamkodishia kwa kiasi fulani. Locals wengi hupenda kutumia hizi nyumba kama sehemu ya kufanyia starehe tu ama kupata faragha ya mapumziko. Mtu anaweza kuwa anaishi mwenge akatafuta nyumba ya airbnb iliyoko goba aka chill yeye binafsi ama na washkaji zake wakale bata tu.