Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa hayo maeneo kiwanja unakipataje bila kuwa na million 300?factor kubwa ya kupanga nyumba kwa kodi kubwa ni location.
milioni 60 ukijenga vyumba master maeneo ya kurasini, sinza, ubungo, mwenge, kinondoni una uwezo wa kupata kodi zaidi ya milioni 3 kwa mwezi.
sababu kuu ni location ina wateja wengi