Na eneo pia lina umuhimuKama unaweza kujenga vyumba 4 self vitakavyokuwa vinakuletea 500k kila kimoja kwa mwezi, basi 2M utaipata
Mkuu sijakuelewa vizuri Air bnb ni nini naomba ueleze kdg plz.Yawezekana kama ukiwwka AirBnb il sijajuua kwa Goba kama ni strategic Area kibiashara.
Vyumba vinne self, market price ya Goba chumba self ni 100,k each vyumba vinne ni 400k hapo inakua bado sanaa mkuu.Kama unaweza kujenga vyumba 4 self vitakavyokuwa vinakuletea 500k kila kimoja kwa mwezi, basi 2M utaipata
Ni Ujenzi wa Nyumba,unaweka kila kitu ndani,unakodisha kwa siku kwa bei husika,isipokua unaiweka ktk Platform ambayo mgeni au mzawa anaweza kubookMkuu sijakuelewa vizuri Air bnb ni nini naomba ueleze kdg plz.
Eneo ni kubwa linaloweza kukupatia vyumba angalau 10?Vyumba vinne self, market price ya Goba chumba self ni 100,k each vyumba vinne ni 400k hapo inakua bado sanaa mkuu.
Hiyo pesa ndogo sanaa bora nifungue hardware shop katika maeneo kama mbezi makabe au mpigi magoe sehemu ambazo azijaendelea sanaa kwa hiyo 60 m huwezi kukosa 100k kama faida kwa siku, mchawi mda au kijana mfanya kazi.Hapo utapata maximum 500,000 Kwa mwezi
Inakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuuNi Ujenzi wa Nyumba,unaweka kila kitu ndani,unakodisha kwa siku kwa bei husika,isipokua unaiweka ktk Platform ambayo mgeni au mzawa anaweza kubook
Wengi wanaokodi,si kwa ajili ya guest, mambo ni mengi kqmq soko lipo hakuna shidaInakua kama guest house sawa nimekuelewa ila hapa wamakonde wa kwetu hapa sidhani kama wanaweza kukodi nyumba kwa wiki hiyo haitawezekana tutaua mtaji bure mkuu
Hapana pesa ndogo 60m kwa 500k kwa mwezi ni less than 5% kama faidaMaximum laki 5 kwa mwezi.
Kwa mitaa ya airport vip airb an b inaweza lipaYawezekana kama ukiwwka AirBnb il sijajuua kwa Goba kama ni strategic Area kibiashara.
Ndiyo vyumba 10 na parking inapatikana ila 60m zitaweza kusimamia huo ujenzi?Eneo ni kubwa linaloweza kukupatia vyumba angalau 10?